Nawasalimu sana wana jukwaa la Elimu.
Kwa wale wenye taarifa kuhusu wahitimu wa hii Diploma pale Chuo kikuu cha Dodoma maana wahitimu wa kwanza itakuwa ni mwaka kesho, nilitaka kujua tu kwa ufupi hivi hawa wataalam wetu wakimaliza pale wataenda kuwafunza vijana wetu wa Primary au wataenda kuwafunza wadogo zetu wa sekondary?
Nasikia wanasoma miaka miwili kama form five na six alafu mwaka wa mwisho ambao ndo watatu wanasoma masomo ya Ualimu.....Naomba mwenye kuwa na taarifa zaidi kuhusu hii Diploma atuwekee hapa!
Natanguliza sukurani