Goodluck Mshana
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,271
- 1,119
Wana taaluma nawasalimu
Naomba kwa anayefahamu chuo kikuu cha hapa nyumbani Tanzania kinachotoa shahada (degree) au shahada ya uzamili (masters) anisaide kunipa taarifa.
Katika vyuo utavyopendekeza naomba usikiweke UDSM. Nimesoma hapo kwa takribani miaka 7. I need a different test of Education now. Nahitaji kufanya Project Planning and Management nje ya UD.
Lakini hata kama utakuwa na Chuo kizuri nje ya nchi na kina offer hiyo course na kuna mazingira ya kupata fully funded scholarship itakuwa vizuri zaidi.
Usisahau kunipa link ya Chuo husika ili niweze kujua gharamana za kusoma hapo.
Asante sana kwa mchango wako wenye manufaa.