CIMA Course in Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CIMA Course in Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Parachichi, Jun 7, 2010.

 1. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2010
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wakuu heshima zenu,nilikua nataka nisome course ya CIMA yaani niwe Certified Management Accountant,sasa sijui kama hapa Tanzania kuna institution yoyote ambayo huwa inatoa hizo course hapa Tanzania.Kwa yeyote aliesoma hiyo course please information juu ya gharama zao na pia chuo kinachotoa hizo course kwa hapa nchini.

  Qualification zangu ni kama ifuatavyo:-

  Bachelor of Commerce na CPA(T) na pia nilitaka kufahamu kwa sifa nilizo nazo natakiwa kuanzia level gani?

  Nawasilisha wakuu
   
 2. mwanakwetu

  mwanakwetu Member

  #2
  Jun 7, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu heshima yako. Hapo hapo kabla hujaenda mbali, na mimi naomba unisaidie la kwangu kwa kuwa wewe tayari una CPA. Ningependa kujua kwa mtu mwenye Bachelor of Commerce kama ya kwako anaanzia level gani na contents ni zipi katika course ama mitihani sijui pamoja na gharama zake maana mimi niko nje ya nchi na nimemaliza tayari B.Com yangu natarajia kurudi nyumbani hv karibuni na ningependa kufanya CPA. Nitashukuru kama utanipa mwanga.
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Heshima kwako Mwanakwetu,

  Inategemea B'com umemejor kwenye nini.Kama ni Accounting unaanzia module E halafu unamalizia F ambayo ni mwisho unabeba CPA{T}.
   
 4. mwanakwetu

  mwanakwetu Member

  #4
  Jun 7, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Asante sana mkuu nimekupata na mimi ya kwangu ni ya Accounting basi ngoja nifike ili nijue mipango mingine.
   
 5. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hao hao NBAA wana administrate mitihani ya CIMA
   
 6. K

  Kabonde JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2010
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duh mbona sijawahi kusikia hizi habari.
   
 7. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nikiwa nasoma pale mplimani tulipewa assignment 'term paper' ya Auditing na tulienda kuonana na aliyekuwa boss wa bodi hiyo kwa wakati huo ambaye kwa sasa ni CAG mheshiwa Utouh. tukiwa naye kwenye round table alisema kwa mdomo wake mwenyewe kwamba wanasimamia na kuratibu mitihani ya CIMA pia.
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  NBAA wanasimamia mitihani tu ya CIMA bas, NECTA wanasimamia ACCA
   
 9. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu umenifurahisha sana. unajua nilishwahi kuona sehemu kwenye mlango bankgo limeadikwa silence please ACCA exams underway. sasa nimekuwa natafuta sana kujua nilisoma wapi hapo. nilichokuwa nakumbuka ni sehemu au taasisi kubwa niliposoma hilo bango lakini sikumbuki kabisa ila kwa miaka kama miwili sasa. nashukuru kwa kunikumbusha mkuu
   
 10. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2010
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  NBAA wao wanaratibu tu hii mitihani ya CIMA ikiwa ni pamoja na kusimamia mchakato mzima wa kusimamia wanafunzi wakati wa Exams!ila tution na issue zingine zote huwa wao hawahusiki!nilikua naulizia kama kuna yeyote aliesoma au anaesoma hizi course kwa sasa anisaidie information
   
 11. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2016
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,570
  Trophy Points: 280
  NBAA bado wanasimamia hii mitihani ya CIMA?
   
 12. M

  Mulyambange Member

  #12
  May 5, 2016
  Joined: Mar 14, 2015
  Messages: 59
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 15
  Nenda website unatapa fully info
   
Loading...