Habari wana JF Mimi ni muhitimu wa stashahada ya Umeme pale Dar es salaam Institute Of Technology (DIT).
Nilifanya mtihani wa mwisho July 2014, mahafali yakafanyika January mwaka uliofata.
Mpaka sasa navyotoa uzi huu bado hatujakabidhiwa vyeti vyetu, wengi tunakosa ajira kwa sababu hii, kero yangu kubwa hawana majibu mazuri pindi unapoenda kuuliza UTAWALA, nishaurini namna ya kutatua kero hii.