kelvin eustace Member Mar 31, 2014 26 3 May 4, 2016 #1 hvi kuikwepa pcb advanc na kuamua kwenda kuchukua diploma ya clinical doctor kuna wepesi hapo au mambo ni yaleyale
hvi kuikwepa pcb advanc na kuamua kwenda kuchukua diploma ya clinical doctor kuna wepesi hapo au mambo ni yaleyale
Aurora JF-Expert Member May 25, 2014 7,308 5,270 May 4, 2016 #2 si wepesi ila utakuwa unajitabiria mazuri hasa kama unahisi advance kuna uwezekano wa kuzungusha