Msaada applications za NACTE

Intelsat

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
323
532
Wakuu kuna sehemu sielewi kidogo hapa kwenye kuview course ulichagua kwa juu wameandika applicants choose as kuna first mpaka nineth ina maana gani wakuu?
 
katika 'program' husika, katika column ya 'first' wameweka idadi ya 'aplicants' walioichagua hiyo 'program' kama chaguo lao la kwanza. 'second' vivyo hivyo, 'third' vivyo hivyo, nakuendelea
 
Hao Ni waliochagua hicho chuo Na hiyo Kama 1st Priority Mpaka 9! Sema Huwa Zinaishia 3rd Tu Koz Nying! So ucwaze Kijana Ila Tambua Kuwa Ukiona Applicant Weng Ujue Kuwa Hapa Pana Bonge La Competition So Jitathmin Katika Hiyo Koz!
 
habar wakuu mim wakat na apply nlitumia email nyinginey na baada ya kuapply nili creat new email afu naka update detail xaxa linaweza kuwa tatzo au kunamazara yeyote hapo wakuu!!
 
habar wakuu mim wakat na apply nlitumia email nyinginey na baada ya kuapply nili creat new email afu naka update detail xaxa linaweza kuwa tatzo au kunamazara yeyote hapo wakuu!!
hakuna tatizo hapo ndo maana wameweka sehem ya kuedit na ku update, kilichobak ni kusubir selection
 
Back
Top Bottom