abdulh iddy
Senior Member
- May 28, 2015
- 159
- 6
Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu. mimi ni mwanafunzi ninaehitaji kujiunga na chuo hiki.Nilikuwa naomba kwa mwenye namba za uongozi wa chuo anipatie. ili niweze kupata undani wa kina. ahsante.Kama unayo namba weka hapo itakuwa pouwa zaidi..