ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,697
Huyu si mwingine ni yule aliyefukuzwa kazi wilaya ya mbinga kwa kuiba ela milioni 200 alizochangisha kwa wazazi sasa ameteuliwa kwenda kuwa afisa elimu taaluma mkoa wa Rukwa.
Cha kushangaza serikali imekosa watu hadi wamchukue mwizi aliyefilisi mali ya umma.
Huyu afisa elimu kurudishwa kwake tena kazini kuna harufu ya rushwa, TAMISEMI kweli na wao ni jipu.
Rukwa kuweni makini!