Kozi gani nzuri ya diploma ya science mtu anaweza kusoma kwa mwaka mmoja?

G.Man

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
1,022
2,065
Wakuu msaada wenu tafadhali, hivi ni coz gani yenye soko ya mwaka mmoja mtu anaweza kusoma inayohusu mambo ya science, wenye uelewa na uzoefu tafadhali!
 
Duh Hakuna hyo
labda kama umemaanisha post graduate diploma
 
Nenda kasome IT ya UK ni mwaka mmoja tu ila ujipange kisawasawa maana msuli wake si wa kitoto
Utapewa vitabu sita vyenye page zaidi 500 na unatakiwa uvisome na kuvielewa ndani ya mwaka mmoja...si kazi ndongo hiyo
Halafu mitihani yake ni ile ya NCC ambayo wanafunzi wa Oxford huwa wanaikimbia kuifanya
 
Back
Top Bottom