Hesabu ya maajabu: Nini uhusiano na namba za simu au Namba yoyote inaweza kutoa jibu?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,679
8,866
Hii Ni HESABU chemsha bongo. Ebu ifanye. ITAKUSHANGAZA NA NI YA UKWELI!!

1: Chukua namba ya mwisho ya simu yako
2: Izidishe kwa 2.
3: Jibu lake JUMULISHA 5
4: Jibu lake ZIDISHA kwa 50.
5: Jibu lake JUMULISHA kwa 1766.
6: Jibu utakalopata TOA mwaka wako wa kuzaliwa.

Jibu utakalolipata litakuwa Na tarakimu TATU......NAMBA MBILI ZA MWISHO NDIO UMRI WAKO.

ANGALIA NI KWELI? MAAJABU YA MAHESABU!
 
Nikiwa kama mtaalamu WA hesabu nimukubali kitu kina prove
 
nina namba mbili eatel na voda, voda inaishia na 67 eatel 18 zote zimekubali namba mbili za mwisho imekuja 28 na dio umri wangu na pia nimejaribu na mtu ninae mfahamu nae hivyo hivyo. kama ni ujinga nami nimekua mjinga sujui?
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Kwa jinsi alivyoiset formula yake ukiweka namba yeyote lazima itakuletea 2016 .ukitaka kuamini weka 0 au namba yeyote jibu litakuja 2016
 
hizi hesabu za kudanganyana kama hii tushacheza nazo sana tukiwa sekondari
siri yake ipo hivi,
2. namba yoyote ukizidisha kwa mbili utapata shufwa (even)

3.namba yoyote shufwa ukijumlisha 5(au nyingine yoyote witiri) utapata witiri (odd),

4.hiyo witiri ukiizidisha kwa 50, jibu litaishia na 50

5.ukijumlisha namba inayoishia na 50 na 1766 utapata namba inayoishiana na 16

6.ambayo ukitoa mwaka wako wa kuzaliwa lazima upate kama alivyosema
kwa kuwa 2016 pia inaishia na 16
 
Hii Ni HESABU chemsha bongo. Ebu ifanye. ITAKUSHANGAZA NA NI YA UKWELI!!

1: Chukua namba ya mwisho ya simu yako
2: Izidishe kwa 2.
3: Jibu lake JUMULISHA 5
4: Jibu lake ZIDISHA kwa 50.

5: Jibu lake JUMULISHA kwa 1766.
6: Jibu utakalopata TOA mwaka wako wa kuzaliwa.

Jibu utakalolipata litakuwa Na tarakimu TATU......NAMBA MBILI ZA MWISHO NDIO UMRI WAKO.

ANGALIA NI KWELI? MAAJABU YA MAHESABU!

Mathematics is all about little tricks, No 1 na 2 ni kukutisha ili uogope maths, hizo steps kila mtu atapata majibu tofauti tofauti, but the Bolded red ndio trick yenyewe inapoanzia. Namba yeyote utakayopata kwenye step 1 na 2 unatakiwa ujumlishe na 5 ili tu kama kwenye step 1 and 2 ulipata shufwa akutoe huko akulete kwenye namba Witiri kwa kuwa namba Witiri yeyote ukizidisha na 50 lazima jibu lake mwishoni kuwe na 50, sasa hapo Jumlisha 66 (Namba mbili za mwisho alizozikusudia yeye toka 1766 aliyoweka ili kukutisha zaidi) Utapata 50+66=116. Kwenye jibu hilo, hizo tarakimu mbili za Mwisho ndiyo iliyokusudiwa 16 which stands for 2016. So 2016 toa mwaka wako wa kuzaliwa ofcoz lazima upate Umri wako. Mwakani kwenye step No 5 wataongeza 1 kwenye 1766 na kuwa 1767 na utapata umri wako.
 
Kama ni hivyo basi naomba utengeneze wewe ili mtu ajue urefu wake kama ni rahisi kihivyo.
 
Nilitumiwa hiyo msg jana kwenye group la Whatsapp, sikufuatilia sana, ila kwa uzoefu niligundua trick kwenye hiyo 5 na 50. Hata hivyo ukijaribu kwa mwaka wa mbele yaani 2017,jibu ni shida. Hata negative haiji!
 
Hii Ni HESABU chemsha bongo. Ebu ifanye. ITAKUSHANGAZA NA NI YA UKWELI!!

1: Chukua namba ya mwisho ya simu yako
2: Izidishe kwa 2.
3: Jibu lake JUMULISHA 5
4: Jibu lake ZIDISHA kwa 50.
5: Jibu lake JUMULISHA kwa 1766.
6: Jibu utakalopata TOA mwaka wako wa kuzaliwa.

Jibu utakalolipata litakuwa Na tarakimu TATU......NAMBA MBILI ZA MWISHO NDIO UMRI WAKO.

ANGALIA NI KWELI? MAAJABU YA MAHESABU!
Lakini ukifuata Principle za BODIMAS/MAGAZIJUTO,inaweza ikakupa jibu tofauti na halisi. Hata hivyo, aliyebuni puzzle hii ni mtu anaejua vema Aljebra hasa Linear!
 
Kama ni hivyo basi naomba utengeneze wewe ili mtu ajue urefu wake kama ni rahisi kihivyo.

Mkuu sijasema rahisi, kama umesoma kuanzia mwanzo nimesema hesabu ni mchezo wa tricks, na nikajaribu kuelezea trick hiyo ili watu waelewe kwanini inakuwa kama inavyokuwa. Tupo kueleweshana mkuu, wapo wanaotengeneza matango pori na wapo wanaokula hayo matango pori.

Nilitumiwa hiyo msg jana kwenye group la Whatsapp, sikufuatilia sana, ila kwa uzoefu niligundua trick kwenye hiyo 5 na 50. Hata hivyo ukijaribu kwa mwaka wa mbele yaani 2017,jibu ni shida. Hata negative haiji!

Mkuu kama utakuwa umesoma vizuri aya ya mwisho kabisa ya comment yangu ni kuwa kwa mwakani itawezekana kama kwenye kujumlisha 1766 wewe utajumlisha 1767. Itakuja tu we jaribu hata now.
 
Lakini ukifuata Principle za BODIMAS/MAGAZIJUTO,inaweza ikakupa jibu tofauti na halisi. Hata hivyo, aliyebuni puzzle hii ni mtu anaejua vema Aljebra hasa Linear!

Kabisa, aliyetengeneza hii puzzle ni mtu mjanjamjanja sana wa namba, yeye namba ndiyo starehe yake.
 
nina namba mbili eatel na voda, voda inaishia na 67 eatel 18 zote zimekubali namba mbili za mwisho imekuja 28 na dio umri wangu na pia nimejaribu na mtu ninae mfahamu nae hivyo hivyo. kama ni ujinga nami nimekua mjinga sujui?
Hivi ukichukua line ya jirani yako na ujifanye ni yako, sijui namba itabadirika na kuleta miaka yangu?
 
Back
Top Bottom