mkuu ni kwamba kamA unataka kusoma hzo kozi za kilimo katika vyuo vya serikali nenda kaombe kuptia nacte lakn kama vyuo unavyovihtaj havipo ,ingia wbst ya wizara ya kilimo utakuta document ambayo itakupa muongozo jins ya kuomba vyuo vya serkal direct pia utakuta application form ambayo gharama yake ni 30000 .lakn kuna document nyngne yenye orodha ya vyuo vya kilimo vya serkali.Nataka kujua jinsi gani yakujiunga na vyuo hivi vya kilimo na mifugo.
Maana utaratibu ulowekwa na nacte kwenye Mtandao kwa vyuo hivo haupatikani kama vyuo vya Ualimu na Afya.