X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,344
- 14,120
nina mdogo wangu ambae amemaliza kitado cha nne 2012 hakufaulu vizuri kipindi hicho alipata vi d vitatu kwa maana hiyo alipata 4 point 32 nahitaji kumsaidia huyu kijana ambae lengo lake ni kuwa mwanasheria je arudie elimu ya sekondari ili apate ufaulu mzuri au nimpeleke chuo ambapo siku hizi kuna mitihani kama NABE...ambayo huifanya wanafunzi wasio kuwa na vigezo vya kusoma vyuo...nishaurini wanajamvi nitumie mbinu gani ili nimsaidie kinajana mwenzenu....