Msaada: Shule ya bweni/day yenye ada chini ya laki 7 iliyopo Dar,Tanga au Pwani

Kijana Jr

JF-Expert Member
May 12, 2016
560
845
Wakuu naomba msaada kwa mwenye ujuzi na hili,

Naulizia Shule ya bweni/day yenye ada nafuu sana, kuanzia laki 7 kushuka chini ambayo nitaweza kumsomesha kijana wangu kuanzia form 2 mpaka4 Iwe ya Boys, au boys na girls
Iwe maeneo ya dar,tanga,pwani
Asanteni.
 
Back
Top Bottom