Foundation course

nathanluke

Member
Mar 23, 2016
6
0
Hivi foundation course ikoje na je kama mtu akisoma degree kwa kupitia hii anakuwa na thamani sawa na aliyepitia kidato cha sita
 
Mara nyingi huwa kuanzia wiki tatu mpaka mwaka mzima inategemea na course unayosoma baada ya hapo utafanya mtihani wa mwisho ukifaulu unaanza rasmi masomo ya course husika...
 
Back
Top Bottom