Kozi za fani ya umeme VETA-Kipawa

nathanluke

Member
Mar 23, 2016
6
0
Je ninaweza soma shortcorse ya miezi3 katika fani ya umeme kwa corse zitolewazo veta kipawa nikaweza ruhusiwa na tanesco kufanya wiring ktk nyumba kibiashara
 
kwanini usipige long course . ili utoke umeshiba umeme .
 
Back
Top Bottom