PCMHGL,HKL,HGK,HGE ip itanitoa
Hakuna Comb inayolipa hapa duniani. Comb yeyote haifanyi kazi bali ni wewe binafsi kuweza kutumia elimu uliyonayo kuweza kuintegrate na mazingira uliyopo ndio utatoka ukisubiri comb ikutoe hakika utakufa masikini.HGL,HKL,HGK,HGE ip itanitoa
Combination itakayokutoa ni akili zako mwenyewe katika kutafuta maisha.Kati ya combination hizi; HGL,HKL,HGK,HGE ipi itanitoa kimaisha?
Kati ya combination hizi; HGL,HKL,HGK,HGE ipi itanitoa kimaisha?