VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 677
Kumekuwa na ubaguzi wa walimu hasa hasa kwa wale ambao ni degree holder na wale ambao ni diploma holder!!
Yaani ni inasikitisha sana, mimi binafsi ni degree holder, nimeajiriwa mwaka huu, niliyoyakuta ni kama ifuatayo:-
1.waalimu wa diploma wanawadis sana walimu wenye degree
2.walimu wenye diploma wana inferiority complex dhidi ya degree holder
3.omba usikutane na head master au head mistress ambaye ni diploma holder, halafu wewe uwe ni degree holder, yaani utapata tabu sana
4.ukikuta head master ni diploma, ugawaji wa madaraka, kuanzia second master to academic to department woote kwa kiasi kikubwa huwa ni diploma
5.walimu wa diploma mara nyingi huwa na tabia za kiform six six , mfano anakuwa still matured kwa kujipendekeza kwa head master au head mistress
6 walimu wa diploma kawaida yao au mara nyingi huwa ni watu wa majungu dhidi ya walimu ambao ni degree holder
7.serikali iangalie upya kwa umakini kutowapa walimu wa diploma kuw wakuu wa shule, wakuu wa shule lazima wawe ni degree holder au masterz