Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Naomba kufahamu vyuo vinavyofundisha kozi za uhandisi kama "Diploma" in (Civil, Electrical, Water Eng, Mechanical,Computer etc) ambavyo mwanafunzi anaweza soma asbh na ratiba nyingine wanaweza kuingia mchana au jioni kwa wanafunzi wengine ambao wanafanya kazi au shughul nyngne mida ya asbh. Naomba kujua sanasana kwa vyuo kama:
-DIT.
-Chuo cha maji (WDMI) .
-NIT.
-Institute of Land.
Na vyuo vingine.
-DIT.
-Chuo cha maji (WDMI) .
-NIT.
-Institute of Land.
Na vyuo vingine.