Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,086
- 11,476
Kichwa cha habari hapo juu cha husika.
Nimesikia kwenye vyombo vya habari Kitendo cha Afisa Elimu (M) Sumbawanga Kumzaba vibao Mwl wa shule ya msingi Darasani.
Nimemshudia Afisa Elimu(m) jiji la Arusha akimkaripia mwl. wa kike kwenye zoezi la uhakiki walimu shule ya sekondari Ngarenaro.Mwalimu huyo alijisikia vibaya hadi kutoa machozi asijue pa kulalamika.
Zoezi lenyewe liliendeshwa chagala bagala,jambo ambalo haliwezi kubaini wafanyakazi hewa.
Huo uafisa Elimu wanaununua au wanafanyiwa Interview?Ni hasara kwa Serikali kuwa na Maafisa Elimu wanaotumia nguvu badala ya Akili/Elimu kwa karne hii ambayo mambo mengi yamebadilika.
Maafisa Elimu msingi na sekondari badilikeni,walimu wa sasa si wale mliozoea kuwanyanyasa na kuwaonea.