Taarifa za kutatanisha kuhusu vigezo Diploma ya ualimu

John Allex

Member
Oct 12, 2015
10
2
Ndugu wana JF habari za mda huu,moja kwa moja nitoe ufafanuzi juu ya kichwa cha mada husika,kwamba kuna taarifa zinazoenea kwa kasi mtaani kuwa kigezo cha kujiunga na diploma kinachohitaji mdahiliwa wa kozi ya ualimu wa shule ya msingi kuwa na cheti cha kozi yoyote kutoka chuo chochote kinachotambulika na serikali kimefutwa na wanahitajika walio na div III au I na Ii kwenda moja kwa moja chuo kikuu...Naomba ufafanuzi kwa mwana JF anayefahamu ,kulingana na uvumi huu kuenea kwa kasi Je.?taarifa hizi ni rasmi...?
 
nijuavyo kwa sasa ngaz ya primary wanachukua kuanzia dv iii had i hii according to necta na sivinginevyo
 
Back
Top Bottom