MImI nilimaliza form six 2014-15 kwa bahati mbaya nikachaguliwa open university science with education na nikapata mkopo laki tano, lakini sijaripoti chuo hata sikumoja na kusaini chochote.
Baada matatizo yangu kuisha nataka nijaribu kuapply upya TCU na nichague chuo kingine, je ntaweza kupewa mkopo?? Kombi yangu ni pcb ya div 3
Baada matatizo yangu kuisha nataka nijaribu kuapply upya TCU na nichague chuo kingine, je ntaweza kupewa mkopo?? Kombi yangu ni pcb ya div 3