Msaada tafadhali kuhusu Formula ya kutafuta DIVISION

Msaada tafadhali kuhusu Formula ya kutafuta DIVISION

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
1,683
Reaction score
2,158
Asalaam wakuu, tafadhali naomba kwa anayefahamu formula ya kutafuta DIVISION kwa matokeo ya mtihani ambayo inafit kwenye Ms-excel. Daima Jf imekuwa chanzo cha maarifa, naomba msaada wenu tafadhali. Nawasilisha
 
Back
Top Bottom