CCM waingia Kiwewe na Matokeo Malisa Godlisen, Usahihi wa Matokeo yake haya hapa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
CCM ACHENI UKILAZA WA MWENDO KASI. NANI KASEMA MALISA KAPATA FOUR?? MALISA HAJAWAHI KUSOMA MINAKI HAYO MATOKEO MNAYOSAMBAZA SI YAKE. BOTH O LEVEL NA A.LEVEL KASOMA MOSHI. MATOKEO YAKE HAYA HAPA.

O.LEVEL,

GODLISTEN MALISA DIVISION 1 POINTS 16

J.K NYERERE SECONDARY SCHOOL, MOSHI 2007

CIV-C HIS-D GEO-C KIS-B ENG-B PHY-B CHE-B BIO-B BAS-C

http://www.matokeo.necta.go.tz/csee/S1038.htm

Mna swali jingine? CHADEMA imejaa vichwa, ukilaza wa mwendo kasi waachieni kina Jesca na magamba wa Lumumba.
 
Ccm Wanavivuli Vingi Wanakata Siasa Kwenye Mambo Ya Msingi Wao Wanafanya
Tungoje Mkuu Wa Chuo Udom Akitumbuliwa Live Kumwacha J Kuendelea Na Masoma
 
CCM ACHENI UKILAZA WA MWENDO KASI. NANI KASEMA MALISA KAPATA FOUR?? MALISA HAJAWAHI KUSOMA MINAKI HAYO MATOKEO MNAYOSAMBAZA SI YAKE. BOTH O LEVEL NA A.LEVEL KASOMA MOSHI. MATOKEO YAKE HAYA HAPA.

O.LEVEL,

GODLISTEN MALISA DIVISION 1 POINTS 16

J.K NYERERE SECONDARY SCHOOL, MOSHI 2007

CIV-C HIS-D GEO-C KIS-B ENG-B PHY-B CHE-B BIO-B BAS-C

http://www.matokeo.necta.go.tz/csee/S1038.htm

Mna swali jingine? CHADEMA imejaa vichwa, ukilaza wa mwendo kasi waachieni kina Jesca na magamba wa Lumumba.
Vipi olesendeka mkuu unayo uweke hapa?

Namfahamu vizuri Malisa, hafanani na div.4 kama aliyonayo Jesca John Magufuli. Badala ya Team Lumumba kuruka ruka nawashauri mtulie na kumshawishi Rais Magufuli kwamba dhambi ya mateso waliyopewa wanafunzi Dodoma haitamuacha huru mpaka pale atakapoitubu.
 
sukari,lugumi,kitwanga,naibu spika,bunge live yote tushayaweka kwenye dust bin tunajadili matokeo ya viongozi ambayo hayana faida kwa taifa kwa sasa maana hata watu wakipiga kelele wakayatungia nyimbo bado hakuna anayeweza kuwaondoa madarakani...............
 
Kazi ipo mwaka huu...wengi vilaza ndo wanaongoza nchi hii...wenye vichwa vilivyo sawa wanapigishwa kwata na vilaza!! Ndo maana nchi inamatatizo ambayo ni basics. Yaani hakuna kujiuliza swali kama watu hawana maji safi na salama, unakaa kujiuliza swali kweli hapo? watu hawana chakula takribani kila mwaka baadhi ya sehemu lakini bado utakuta hamna taarifa sahihi, watu wanasubiri maswali bungeni kwa hilo kweli? Zahani hazina dawa, kweli mnasubiri kuulizwa swali bungeni? Ni vilaza tu wanaoweza kuvumilia hiyo hali hadi waulizwe.
 
Back
Top Bottom