Baraka2030
New Member
- Jun 6, 2016
- 3
- 0
Naombeni msaada, mimi ni mwalimu diploma holder.
Nimeapply NACTE ili nikasome degree lakini 2014 niliapply kusoma Open University nikapata na nikajisajili ila sikufanya mtihani hata mmoja.
Je NACTE watanichagua tena?