Joseph Cliff
Member
- May 31, 2016
- 28
- 6
Napenda kujua kama form za mikopo zimetoka online... naona kila nikiangalia sizioni
Kama huzioni tulia mana yake hawajatoaNapenda kujua kama form Za mikopo zimetoka online... naona kila nikiangalia sizioni
Acha upuuzi wa vifupisho vya kijinga, ndiyo maana mnaambiwa vilaza! Sasa umeandika nini unadhani kila mmoja anaelewa upuuzi wa vifupisho visivyo rasmi. Na kwenye mitihani mnaandika hivyoTaarifa: HII.INA UKWELI WOWOTE WAKUU!!!?
MAOMBI YA MKOPO YATAANZA BAADA YA MATOKEO YA 4M6 KUTOKA. NA WENYE DIV.1 &2 ndio watakao ruhusiwa kuomba mkopo tu, wenye div.3 wataenda diploma. Na special diploma wataenda wale watakao pata div.3 ya 4m6 tu na hao hawatapewa mkopo wala boom bali watapunguziwa 35% ya ada yote. na kwa wa2mishi wenye diploma wanaotaka kujiendeleza na degree inatakiwa awe amepata kuanzia GPA ya 3.5 ya matokeo yake ya diploma, na mtumishi yeyote anayetaka kujiendeleza haruhusiwi kuomba mkopo. HII IMETOLEWA NA SERIKALI RASMI.
ingia kwenye website ya TCU, na HESLB.
C&P
Umetolea wapi hiyo mkuuhizi hapa
Umetolea wapi hiyo mkuu
Uzushi maana kulikua Kuna taarifa ya mwanzo ilikua inasema GPA ya 3.3Taarifa: HII.INA UKWELI WOWOTE WAKUU!!!?
MAOMBI YA MKOPO YATAANZA BAADA YA MATOKEO YA 4M6 KUTOKA. NA WENYE DIV.1 &2 ndio watakao ruhusiwa kuomba mkopo tu, wenye div.3 wataenda diploma. Na special diploma wataenda wale watakao pata div.3 ya 4m6 tu na hao hawatapewa mkopo wala boom bali watapunguziwa 35% ya ada yote. na kwa wa2mishi wenye diploma wanaotaka kujiendeleza na degree inatakiwa awe amepata kuanzia GPA ya 3.5 ya matokeo yake ya diploma, na mtumishi yeyote anayetaka kujiendeleza haruhusiwi kuomba mkopo. HII IMETOLEWA NA SERIKALI RASMI.
ingia kwenye website ya TCU, na HESLB.
C&P
Haionekani kwenye website hizo
hizi hapa
Umetolea wapi hiyo mkuu
Yan huu uzushi unatuathiri sisi wahitimu wa kidato cha sita