Tuition nzuri kwa mtoto wa F1 Arusha mjini.

love more than100

JF-Expert Member
Jan 27, 2014
2,061
715
Habari za humu wadau? Mimi ni mgeni humu ila shida hainaga ugeni wala adabu na huwa shida zina miguu so leo zimenilembelea.
Naomba kujulishwa ilipo tuition nzr za wale walimu wa Ilboru sec, Ar sec, Kaloleni sec ambao wameshindwa kufundishia ktk shule walizopo kutokana na sheria mpy ya tuition hakuna na anayetaka asitumie majengo ya shule ya serikali. Mwanangu yupo Ailanga form 1 kaja likizo juzi j'mos mpk wafungue shule ni July 10 sasa hapa kati nahitaji aende tuition.
Asanteni kwa msaada mtakaonipa.
Kazi njema.
 
Mpeleke kiomboi shule y msingi pana tuition hatarii,ipo kiomboi.ada n 15000 tu.kama una ndugu pale mpeleke kuna basi ya arusha mjin to kiomboi.mpeleke hutajuta
 
Bado kidogo mtamwelekeza ampeleke Uganda. Mtu kajieleza yuko Arusha mtajieni za hapa hapa Arusha mnazidi kumchanganya
 
Back
Top Bottom