mzama chumvini JF-Expert Member Mar 14, 2016 730 641 Mar 19, 2016 #1 Dogo amemaliza form 6 akapata 4 matokeo hayo hapo tokeo la o level ni Phys B! Chem B! Bios B! Math D na yaliyobakia C vp anaweza kupata chuo Zenji?
Dogo amemaliza form 6 akapata 4 matokeo hayo hapo tokeo la o level ni Phys B! Chem B! Bios B! Math D na yaliyobakia C vp anaweza kupata chuo Zenji?
Jenseny JF-Expert Member Jan 26, 2011 1,743 1,737 Mar 21, 2016 #2 akasome diploma y ualimu wa msingi Korogwe
D dr lumilo JF-Expert Member May 26, 2016 271 67 Jun 6, 2016 #4 Achague chuo cha likongofwikee kijitonyamaa barsss
Ghulaam JF-Expert Member May 10, 2016 1,859 1,457 Jun 7, 2016 #5 Kuna vyuo huko kama mbweni na kile zanzibar school of health