Tangazo la kubadilishana

Dec 10, 2015
13
3
Mimi mwl. Bethuel Sikawa.... Nafundsha sec... Wilay y Ngorongoro mkoan Arusha... Natafta kubadlishna na mwl. Kutoka ama Meru, Arusha (v) au kibaha (m)
 
Njoo Babati mjini mimi nije Dodoma mjini, Morogoro mjini, Iringa mjini, idara ya elimu secondary, mawasiliano ni 0683172927
 
njoo tabora manspaa nine mbeya, rungwe, mbozi, mbalali, makambako mawasiliano 0754019061 idara sekondari
 
Njoo Njombe Mji nije
Kisarawe
Chalinze
Temeke
Ilala
Kigamboni
Kinondoni
Kibiti
Bagamoyo
Rufiji
Au morogoro MC
Contact 0759007829
Idara SEC
 
Back
Top Bottom