Je Kampala International University (KIU) wanatoa kozi za afya?

abdulh iddy

Senior Member
May 28, 2015
159
6
Habari za humu wana jf.

Naomba msaada kwa anaejua kuhusu hili. Pale KIU wanatoa kozi ya afya, je kozi hiyo imesajiliwa? Na kama kuna mtu ana namba ya mkuu wa chuo naomba anipatie.

Asante.
 
Habari za humu wana jf.msaada kwa anaejua.naomba kuuliza ivi pale kampala wanatoa kozi ya afya na je kozi hyo imesjiliwa.au kama kuna mtu ana namba ya mkuu anipatie.ahasante.
NAWASILISHA

Usiende kile chuo,it is not safe there unless kama matokeo yako hayakuruhusu kwenda vyuo makini
 
labda kwa uongozi wa magufuli naona mambo yatabadilika na kuwa mazuri zaidi kama sio kufutwa kabisa kule matatizo yapo. kama vipi google uone habari za kule. utatoka shallow ndugu ngalia usiwe mjinga.
 
Elimu ya vyuo vikuu hapa nchini imeshuka sana.Ssa hivi huwezi tofautisha kati ya mtu aliyesoma udsm na Kiu au na vyuo vingine.Vilaza ambaye mheshimiwa wetu raisi anaowaita wapo kila institution hapa nchini..
 
Kama Hujitaki Nenda KIU, kwanza Utafanya Nywele Nyeupe Bado Mkopo Hujamaliza Kuulipa Mana Ada zao Noma.
 
Back
Top Bottom