Mwenye kukijua chuo cha Bukoba Lutheran Teachers College

tembophd

Senior Member
Jun 3, 2016
113
34
mwenye kujua chuo cha Bukoba Lutheran Teachers College – Bukoba anijuze kipo vipi Wakuu
 
Iko chuo si ndo kile kilichokuwa jirani na nyakato sec km ndio hicho chuo ni kizuri sana wana maadili mazuri sana
 
Ni kile kilichokuwepo karibu na Nyakato secondary. Kwa sasa kimehamishiwa sehemu nyingine na yale majengo ya karibu na Nyakato yanatumiwa na chuo kipya cha JoKUCO ambacho ni tawi la Tumaini University
 
Back
Top Bottom