Kozi ipi ya engineering inafaa kwa urahisi wa kujiajiri au kuajiriwa kwa mtu aliyesoma PCM?

Paa

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
1,462
2,935
Ukizingatia kwamba kuna shida ya ajira, pia chuo kipi kinafaa zaidi kwa kozi husika?
 
Mkuu kamata hizi hapa chini, ni rahisi kuoata ajira industry yoyote ile au kujiajiri

1. Electrical Engineering
2. Mechanical Engineering
3. Chemical and Processing Engineering
4. Civil and Structural Engineering
 
Ila Ni vyema kuwa na SIKIO ili kujua unahitajika wapi...Kabla ya kukurupuka kuchagua kozi kwa urahisi Wa ajira au pesa...
 
Mkuu kamata hizi hapa chini, ni rahisi kuoata ajira industry yoyote ile au kujiajiri

1. Electrical Engineering
2. Mechanical Engineering
3. Chemical and Processing Engineering
4. Civil and Structural Engineering

Hapo ondoa Mechanical kwenye hiyo list the rest poa
 
Back
Top Bottom