CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Mh, tunaomba selection ya form five itoke mapema, wazazi tujiandae maana kumekuwa na tabia ya kushitukiza wazazi. Ni hayo tu.
Bording elfu sabiniHivi ada ya kusoma A-Level kwa shule za serikali ni shikingi ngapi kwa sasa?
Nisaidieni mwenye kujua tafadhali
ADA NI ILE ILE 70000 KWA MWAKA KWA BORDINGHivi ada ya kusoma A-Level kwa shule za serikali ni shikingi ngapi kwa sasa?
Nisaidieni mwenye kujua tafadhali
Ahsante sana mkuu kumbe hapa hamna hata presha nitamaliza kazi mapema tuBording elfu sabini
Michango mkuu elimu bure mpk cha 4Ahsante sana mkuu kumbe hapa hamna hata presha nitamaliza kazi mapema tu
Mimi nikadhani shule za serikali hazina michango basi hapa nisubirishie kuona shule atakayochaguliwa nikiona ni ya mwendokasi yaani si zile ambazo wanafunzi wake wanakomaa kutokana na majina ya shule husika basi inabidi nimpeleke private tu ambako inahulikana nalipa ila anakula kitabu kweli.ila michango yake unaweza kulia andaa kama laki NNE hivi
yaani mwaka huu tabu tupu...ajira za walimu kimya selection kidato cha tano kimya...wacha tuisome number