mavangah
Senior Member
- Sep 9, 2015
- 113
- 23
Habari za muda huu wakuuu.kama apo juu kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naombwa kufaham chuo kizurii cha kujifunza udereva jijini mwanza, chenye facilities nzurii, pia endapo ntapomaliza ntakuwa offered na stuff km zipi yaan maanisha kupata lesen pia cheti. hivyo gharama pia kufahamishwa ni muhimu. Ahsanteen nawasilisha kwenu