Ubora wa elimu hasa ni ipi?

Likuwa

Member
Jun 17, 2016
64
48
Kipindi napatapata ufahamu juu ya masuala mtambuka kuhusiana na weledi wa ualimu nilipata kujifunza kuwa Elimu bora ni ile inayomfanya mtu(mwanafunzi) mara baada ya kuhitimu aweze au imwezeshe kukabilana na mazingira anayoishi.....kwa mtazamo wako unadhani wahitimu wetu nchini katika ngazi mbalimbali za weledi wanaenda sawa na mtazamo. huu....KARIBU KATIKA KUTOA MAONI YAKO.
 
Back
Top Bottom