Mkopo wa diploma

ngwafunya

New Member
Jun 15, 2016
3
2
Naombeni msaada wa kujua kiasi na mgawanyo wa mkopo kwa diploma ya science & mathematic teaching
 
Kwanza huna kigezo cha kupata huo mkopo. Unataka kuwa mwalimu wakati wewe mwenyewe kujieleza ili usaidiwe ni tatizo??? Nyie ndio unatuharibia elimu yetu. Ndalichako ndio dawa yenu.
 
Najua hujajibiwa kimantiki kwa lile ulilotaka usaidiwe bali wadau wanaishia kukwita ki.la.za lakini be patient ufumbuzi upo karibu.
 
Kwanza huna kigezo cha kupata huo mkopo. Unataka kuwa mwalimu wakati wewe mwenyewe kujieleza ili usaidiwe ni tatizo??? Nyie ndio unatuharibia elimu yetu. Ndalichako ndio dawa yenu.
Nyie ndio unataka kutu........ Mkuu soma post kabla hujaituma bana! Sasa kiswahili gani hiyo!?
 
Back
Top Bottom