CIPS November 2013 Examinations

CIPS November 2013 Examinations

MD25

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
3,074
Reaction score
1,030
Habari wana bodi....

Ninatarajia mwezi wa November mwaka huu nifanye mitihani ya "Chartered Institute of Purchasing & Supply" katika Level 4 "Diploma in Purchasing and Supply"

Dhumuni la ku-drop ujumbe huu, ni kutaka kupata kampani ya kusoma na ku-discuss. Kama na wewe unafanya au unamjua mtu/watu wanaofanya hiyo L4 please tuwasiliane kupitia PM au drop ujumbe hapa. Mimi nipo DSM.

Asante
 
Wanabodi msaada plz
 
Habari wana bodi....

Ninatarajia mwezi wa November mwaka huu nifanye mitihani ya "Chartered Institute of Purchasing & Supply" katika Level 4 "Diploma in Purchasing and Supply"....

Dhumuni la ku-drop ujumbe huu, ni kutaka kupata kampani ya kusoma na ku-discuss. Kama na wewe unafanya au unamjua mtu/watu wanaofanya hiyo L4 please tuwasiliane kupitia PM au drop ujumbe hapa. Mimi nipo DSM. Asante....

vp mkubwa!harakati za cips exams zakwendaje? maana nami nampngo huo.
 
Habari wana bodi....

Ninatarajia mwezi wa November mwaka huu nifanye mitihani ya "Chartered Institute of Purchasing & Supply" katika Level 4 "Diploma in Purchasing and Supply"

Dhumuni la ku-drop ujumbe huu, ni kutaka kupata kampani ya kusoma na ku-discuss. Kama na wewe unafanya au unamjua mtu/watu wanaofanya hiyo L4 please tuwasiliane kupitia PM au drop ujumbe hapa. Mimi nipo DSM.

Asante

Ndugu nina maswali kidogo kuhusu hicho kitu...kama upo tayari nikutumie no yangu unibp tafadhari
 
vp mkubwa!harakati za cips exams zakwendaje? maana nami nampngo huo.
Mkuu Nicky...CIPS naendelea, now nipo Level 5. Next year May napiga six papers. But zinaenda.
 
Mkuu Nicky...CIPS naendelea, now nipo Level 5. Next year May napiga six papers. But zinaenda.

Nashukulu ka ndivyo maana mwakani nataraji kuanza na level 4 ila sina uelewa wowote juu ya usomaji,kujiandikisha ,upatikanaji wa mterials na mambo mengine muhimu.So nadhani we ushakuwa mwenyeji na utanisaidia.Nita ku- pm namba yangu ili unipe miongozo zaidi.
 
niko interested na mimi wakuu kwenye hili nicky nicky ukipata ufafanuzi namie nishirikishe.,
 
Back
Top Bottom