Lini TCU itaanza kupokea maombi ya kujiunga na masomo kwa ngazi ya degree?

Wadau mpaka matokeo ya kidato cha sita yatoke ndio system itakuwa tayari kwa kufanya application
 
Haya Ni Maswali ya Kila Siku Yanaulizwa na Kujibiwa, ila Watu Sijui Wanatoka Usingizini!!!!
Kama Vipi nenda Kwenye Website yao www.tcu.go.tz utakuta Nambari Zao Za Simu Wapigie Uwaulize.
 
Back
Top Bottom