Mkuu Umenena, hakika Elimu yetu ilikuwa iko ICU na kulikuwa na ufisadi wa kutisha. Hakika tumuombee Waziri wetu wa Elimu andelee kuisafisha Wizara na kuboresha ElimuKazi unayoifanya ni kubwa mno na unibua uozo katika bodi ya mikopo, uozo uliojificha miaka mingi, hongera na Mungu akulinde na akupe maarifa zaidi