Msaada: Taarifa za Tanzania aviation university college

The Beast

New Member
Oct 6, 2012
3
0
Salamu kwa wanajukwaa, I am new but naamini mtanisaidia kuna chuo kinaitwa TAUC Tanzania aviation university college kipo Tabata Magengeni kinatoa kozi za upilot kuna mwenye taarifa kuhusu hiki chuo?

Naomba kuwasilisha
 
Urubani ukasomee Tabata Magengeni. Halafu utashangaa TCU na NACTE wana hizi taarifa miaka na miaka hawafanyi chochote.
 
Hahaha! Jamani hii nchi, wanasubiri watoto wa watu wafike mwaka wa pili ndio wakifungie chuo
 
Urubani beibiii. Utakuta hao wanafunzi akili yao yote wanawaza wakimaliza hapo direct ni kurusha ndege!
 
Back
Top Bottom