The Independent
Member
- Jul 10, 2014
- 21
- 11
Habarini za jioni wana jf,
Naombeni mnisaidie, Shule ya Secondary Kimamba iliyopo Kilosa Morogoro kama ina Advance maana kuna mdogo wangu amepangwa huko.
Cha ajabu nimejaribu kufuatilia matokeo ya Advance ya miaka iliyopita kwenye List ya NECTA haimo ila naona mwaka jana kuna wanafunzi walipangiwa hapo.
Mwenye ufahamu na shule hiyo naomba msaada.