Swali kuhusu lugha ya kujifunzia kwenye vyuo vya upili

MwendaOmo

JF-Expert Member
Dec 16, 2013
774
723
Hamjambo,

Nakumbuka hapo nyuma wakati wa utawala wa Mheshimiwa JK, kulikuwa na tetesi kuwa kiswahili kitatumika kama lugha ya kufunzia wanafunzi wa vyuo vya upili katika masomo yote; sera hii imefikia wapi?

Asanteni.
 
Back
Top Bottom