Naomba kujua ubora wa shule ya Ruvu Girls Secondary

MOMPRENEUR

Senior Member
Jun 18, 2016
193
126
Habari za wakat huu wanajamvi.Nna mdogo wang kachaguliwa Ruvu girls sec. mchepuo wa PCB hvo nataka nifaham ubora wa shule hyo kwa ujumla ikiwemo miundo mbinu yake ya kusomea na uwepo wa walimu.Mwenye kuijua shule hyo anisaidie plz
 
Ni shule nzur sana maana ni kati ya shule kongwe nchini, ina miundombinu mizur sana mimi naishi jirani na shule na nidhamu pia wanajitahidi!! Ila kama unavyofaham shule nyingi za serikali waalimu hawapo commited sana, nakushaur umlete ila akiwa likizo jitahid awe anapata masomo ya ziada na pia mnunulie vitabu vya kutosha.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
nashkr kwa ushaur
 
Back
Top Bottom