Tofauti kati ya diploma ya IT, computer science na computer engineering

apprentice1997

Senior Member
Jun 8, 2016
107
99
Habari za mchana, nimemaliza form four mwaka jana, naomba kujuzwa tofauti ya kozi tajwa hapo juu, na ni kozi ipi ni rahisi zaidi kujiajiri au kuajiriwa. Asante
 
hazina tofauti saana kozi zote majanga tu...
nenda kapige civil,mechanics au electrical dogo.
 
hizo field tumezipapatikia, leo hakuna lolote

Watu wanaishia kilala na mi kompyta chumbani.
Wingi wa kompyuta mbovu unazolala nazo katika stoo yako unadhihirisha kiwango chako cha maarifa. Kwani hushangai wewe ndiye unaye sababisha zisipone?
 
Wingi wa kompyuta mbovu unazolala nazo katika stoo yako unadhihirisha kiwango chako cha maarifa. Kwani hushangai wewe ndiye unaye sababisha zisipone?
kumbe hawa ndo wale mafundi wanaotuharibia kompyuta zetu na kuziweka ghetto leo analalamikA
 
Back
Top Bottom