Mliochaguliwa Kigoma secondary hapa

jitupori

Senior Member
Feb 22, 2015
199
76
Kama ww umechaguliw kigoma secondary kujiunga na kidato cha tano aisee hongera sana karibuni xaana kwa mzee magembe
Sifa ya shule ya kigoma secondary
1: inapatikana kigoma mjini kama km3.5 hv kutoka round about kuu iliyopo karibu railwaystaion
2: inawaalimu wakutoxha takribani waalimu 30
3:inachukua michepuo ya HGL,HGK,EGM, HGE,PCM,PCB na CBG
4: inachukuwa wanfunzi takribani 400
5:ni shule ya boyz tupu
6:hakuna tatizo la maji kwani miundo mbinu ya maji ipo active
7:inamazingira mazuri ya kumfanya mwanafunzi yeyote yule hapende kusoma
8: kuhusu chakula ni wali mara 4
kwa wiki,breakfast ni chai na mkate,mchanA Ni ugali na maharag@mawese
9:uniform ni suruhali skye blue p1 na shirt nyeupe mikono mifupi
10:godoro ni futi2.5 kwa 6,neti,tranka usisahau mzee nani hapo
11: nguo za kushindia ni yeyote hile hatunaga shamba dress xo ww unawez kuja na nguo yeyote ile hata kama utaxhinda na boxer aina shida



Hayo ni machache tyuuu kuhusu kigoma secondary unaweza kunicheki kwa namba 0687437852 kwa msaada zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom