Ingia kwenye account yangu utaikuta...search "Saidy Januzaj" ukishaniona fungua, kuna link nimeiweka mule shule zote zipo.Habari za weekend jamani..
Mtoto wangu amechaguliwa kwenda msalato high school sasa naitaji kupata joining Instruction ya hapo msalato kwa yoyote mwenye nayo ambayo iko update...