Kwa wanaoifahamu shule hii vizuri kwa A-level naomba msaada wa kufahamu vizuri, mfano waalimu wao, mazingira ya shule na assessments zao kwa wanafunzi. Nawasilisha msaada tafadhali.
Miongozo walioitoa hivi juzi inaonyesha kuwa maombi ya mikopo kwa elimu ya juu 2016/2017 kuanzia 27/6/2016 hadi tarehe 31/7/2016. Maajabu ukiingia kwenye website yao kufanya maombi unakutana na...
Wanabodi,
Nimesikia tetesi nyingi mitàani kuwa watakaopata division one na two ndio watakaopata mkopo mwaka wa masomo 2016/17. Naamini hii yaweza kuwa tafsiri sahihi/isiyo sahihi ya sehemu hii...
Wana JF hivi karibuni bodi husika ilitoa mwongozo na vigezo vya kuomba mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Na kwamba ifikapo leo tar 27/6/2016 Mfumo wa kuomba Mkopo kwa njia ya mtandao...
Wakuu, naomba taarifa kamili au hata tetesi kwa anayefahamu ratiba ya MTIHANI WA NACTE kwa vyuo vya afya, NTA LEVEL 4 SEMESTER II, kama huo mtihani upo unaanza lini na ni masomo gani yanahusika...
Shule zafunguliwa watoto kuhudhuria
Wakubwa kwa wadogo maarifa kujipatia
Pekupeku twaenda na kamasi zikitutoka
Yeye atukumbatia bila kujali twamchafua
Hakuna kama mwalimu jamii yote yajua.
La...
Shule zafunguliwa watoto kuhudhuria
Wakubwa kwa wadogo maarifa kujipatia
Pekupeku twaenda na kamasi zikitutoka
Yeye atukumbatia bila kujali twamchafua
Hakuna kama mwalimu jamii yote yajua.
La...
Wakuu msaada nahitaji kubadilisha shule nmepangiwa bongwe kasulu nahitaji kurudi dar shule kwenda Benjamin au azania wakuu kwa anayeelewa taratibu za uamisho anisaidie
Habarini
Nilikuwa naomba msaada kuhusu hii shule. Mpwa wangu amechaguliwa advance Berege huko sasa je mazingira yakoje, joining instruction ntapataje, Academic performance, Sare za rangi gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.