TUMECHOKA NA MASWALI YA KITOTO ... JAMANI .. WAKATI MNAJAZA HUKO SHULENI HAMKUPEWA UFAFANUZI...?Habari wana forum, naomba kufahamu iwapo utasoma CBG baadae utasoma fani gani Chuo Kikuu.
Huko shuleni maswali haya yanakuwa ya kikubwa?TUMECHOKA NA MASWALI YA KITOTO ... JAMANI .. WAKATI MNAJAZA HUKO SHULENI HAMKUPEWA UFAFANUZI...?
Ungejibu ungekuwa na busara zaidi kuliko kupoteza muda kuuliza swali, hili ni jukwaa km wewe umechoka waache wenye kujua waje waeleweshe. Si ajabu na wewe hujui.TUMECHOKA NA MASWALI YA KITOTO ... JAMANI .. WAKATI MNAJAZA HUKO SHULENI HAMKUPEWA UFAFANUZI...?
Sipendi mtu anayejibu hivi!!!TUMECHOKA NA MASWALI YA KITOTO ... JAMANI .. WAKATI MNAJAZA HUKO SHULENI HAMKUPEWA UFAFANUZI...?
Nyambole wewe! unaanza kuwatukana hata wazazi wako! ok! nitashauli lianzishwe jamvi la watoto kama wewe!Ungejibu ungekuwa na busara zaidi kuliko kupoteza muda kuuliza swali, hili ni jukwaa km wewe umechoka waache wenye kujua waje waeleweshe. Si ajabu na wewe hujui.
Andamana!Sipendi mtu anayejibu hivi!!!
I hate you
Utajivuniaje kuwa na mzazi ambaye anajibu maswali ya msingi kidharau namna hii?Nyambole wewe! unaanza kuwatukana hata wazazi wako! ok! nitashauli lianzishwe jamvi la watoto kama wewe!
May your God bless you abundantly, wewe, familia yako na kizazi chako chote,Unaeza kuwa,chemist,botanist,zoologist,geologist,nurse,animal scientst,dental surgery doctor,bvm,land manager and valuator,lab.technician,molecular biologist,petroleum chemist,bio&chem.teacher,biotechnologst,midwifery.etc,nadhani umenipat.
Utajivuniaje kuwa na mzazi ambaye anajibu maswali ya msingi kidharau namna hii?
"Habari wana forum, naomba kufahamu iwapo utasoma CBG baadae utasoma fani gani Chuo Kikuu"
Hili ni swali la msingi kwa mtu aloenda shule kweli?
What CBG stands for?
Usiwachanganye madogo. Wana haki kujadili mambo kwa kiwango na uelewa wao!"Habari wana forum, naomba kufahamu iwapo utasoma CBG baadae utasoma fani gani Chuo Kikuu"
Hili ni swali la msingi kwa mtu aloenda shule kweli?
What CBG stands for?
Hapo umeua jombaaa!au hata accountist
SociologyHabari wana forum, naomba kufahamu iwapo utasoma CBG baadae utasoma fani gani Chuo Kikuu.