Shule ya Myovizi Mbozi

gilmanywele

Member
Aug 17, 2015
53
15
Wakuu hali vipi?
Tafadhali naomba kuelewa; hii shule ya Myovizi iliyopo wilaya ya Mbozi, ndiyo imeanza kuchukua wanafunzi wa kidato cha tano mwaka huu?
Kimazingira na kitaaluma imekaaje?
 
aisee iko mkoa mpya wa songwe wilaya ya mboz. usafir upo wala ucjal karbu mboz kjana, nmesoma pale o-levo nlimalza 2010 saiz nko iringa mkwawa namalizia education mwaka uhuu
 
aisee iko mkoa mpya wa songwe wilaya ya mboz. usafir upo wala ucjal karbu mboz kjana, nmesoma pale o-levo nlimalza 2010 saiz nko iringa mkwawa namalizia education mwaka uhuu
Ahsante Mkuu, ngoja michakato ifanyike sasa
 
Back
Top Bottom