Kazi ya NBS ni kukusanya, kuchambua na kutoa takwimu mbali mbali nchini kama sheria ya kuanzisha taasis hiyo inavyotamka.
Kila baada ya miaka 10 serikali imekua ikitumia fedha nyingi sana kukusanya takwimu mbali mbali hasa idadi ya watu na kuweka kwenye makundi mbali mbali. Taarifa ya sensa 2012 inaonyesha wazi watoto wanaotakiwa kuingia shule primary, secondary na vyuo inajulikana vizuri sana na project zinaweza kufanya kwa usahihi mkubwa sana.
Cha kushangaza tunasikia shule hazina madawati, shule hazina majengo ya kutosha, sasa hivi tunasikia vijana wetu zaidi ya 20,000+ watakosa kwenye form five kwa sababu hakuna madarasa ya kutosha.
Je Kwa nini tulifanya sensa? hatukuona upungufu huo?
Je Kuna umuhimu wa kuendelea kufanya sensa kama takwimu hizo haziheshimiwi na watawala katika kuandaa vipaumbele na kutatua kero?
FAILURE TO PLAN IS PLAN TO FAIL