Lucas Mganda
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 245
- 165
Wadau nahitaji msaada wenu nahitaji kununua notes au vitabu kwa ajili ya mdogo wangu amechaguliwa PCB ktk shule ya Mpanda girls.
Umeshamjibu Na Kweli inatosha sina cha Kuchangia!Mnunulie kitabu cha S. Chand (Physics na Chemistry), Biological science, University Pysics,n.k. Pia pumphlets za Mgote, Ngaiza, Mbuga na Mandia zitamsaidia.